F Hizi Ndizo Tofauti ya Asali ya Nyuki Wadogo na Asali ya Nyuki Wakubwa | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Hizi Ndizo Tofauti ya Asali ya Nyuki Wadogo na Asali ya Nyuki Wakubwa

Watuwengihuwatunatumiaasalipasipokujuawametokananaasaliwaainagani, hivyokilaasaliambayounaitumiakuanzialeonilazimaujuewanatakonananyukiwaainagani. AsalizaNYUKI WAKUBWA na WADOGO zinatofautianakatika mambo kadhaanahvyonimuhimukujuatofautihizokablahujanunuailikuanauhakika.

NYUKI WADOGO
1. Ni nyepesizaidikwaniinakiwango cha majikuanziaasilimia 24

2. Ina ladhaya UCHACHU ingawanitamusana.
3. Mara nyingiinarangiya KAHAWIA ILIYOKOLEA inayoendakwenye WEUSI

NYUKI WAKUBWA
1. Ni nzitokulikoyanyukiwadogokwaniinakiwango cha majikuanziaasilimia 17 hadi 20.

2. Ni tamumojakwamojabilakuanaladhayauchachukamanyukiwadogo
3. Ina ranginyingikuanzia NYEUPE, NYANO, KAHAWIA ILIYOPOA, KAHAWIA ILIYOKOZA n.k
Hizonitofautizamuhimukuzijuakwanizitakuwezeshakupataasaliunayoitakanakuepukakuibiwa