F Msanii wa Bongo Movies, Isabela Mpanda ajifungua kidume | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Msanii wa Bongo Movies, Isabela Mpanda ajifungua kidume

 MSANII maarufu wa Bongo Movies, Isabela Mpanda amejifungua salama leo Machi 28, 2018 mtoto wa kiume.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Isabela ameweka picha ikionyesha mguu wa mtoto wake mchanga na kuandika; “MUNGU NI MWEMA”