Msanii mkongwe na Mbunge wa Mikumi kupitia chama cha CHADEMA Joseph Haule Prof. Jay ameandika kupitia ukurasa wake wa Instagram muda mfupi baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe kukosa dhamana katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu.
Sasa msanii Prof. Jay ameandika ikiwa ni baada ya Mbowe kukosa dhamana akiwa na viongozi sita wa Chadema, haya hapa maneno ya Prof. Jay kwenye ukurasa wake wa Instagram….>>>“Yana mwisho Haya… Giza linapozidi kuwa Totoro jua kuwa karibu kunapambazuka..TIME WILL TELL.” – Prof. Jay