F Urusi yalipiza kisasi kwa Marekani | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Urusi yalipiza kisasi kwa Marekani

Waziri wa mambo ya nje wa Urusi Sergey Lavrov  amefahamisha kuwa  ubalozi mdogo wa Marekani mjini Saint-Petersburg umefungwa na kufukuzwa wanadiplomasia 60.

Hatua hiyo imechukuliwa  na Urusi kama jibu kwa Marekani na Magharibi  na washirika wao kuhusu sumu aliopewa jasusi wa zamani wa  Urusi Skripal.

Uingereza imewafukuza  wanadiplomasia 23 wa Urusi na wengine 150 katika mataifa 25 ya mataifa ya Ulaya. Waziri wa mambo ya nje wa Urusi amesema kuwa uamuzi huo umechukuliwa kama jibu kwa huatua zilizochukuliwa  mataifa ya Magharibi dhidi ya Urudi.