F VIDEO: Bongo Movie walaani kitendo cha WEMA SEPETU kukaa Uchi | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

VIDEO: Bongo Movie walaani kitendo cha WEMA SEPETU kukaa Uchi

Msemaji wa Tasnia ya filamu Tanzania Bw. Masoud amesema kitendo cha msanii wema sepetu kukaa nusu utupu na kusaambaa kwa video ile ni utovu wa nidhamu na wao kama kamati wanakaa kikao ambacho kitajadili hilo swala na maamuzi yatatolea kuhusiana na utovu huo wa nidhamu na pia ni kinyume cha maadili ya kitanzania.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...........USISAHAU KUSUBSCRIBE...................