Msanii wa filamu Tanzania Daud Michael 'DUMA' amemleta msanii kutoka Nchini Australia kwaajli ya kuigiza filamu yake mpya ambayo amesema itarudisha taswira ya filamu ya bongo movie kama ilivyokuwa awali na itazidi ilivyokuwa kwani yeye lengo lake kubwa ni kufanya zaidi walivyofanya wasanii wazamani na marehemu msanii kanumba.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI................ USISAHAU KUSUBSCRIBE................