VIDEO: Cyprian Musiba afunguka mazito, asema Mbowe na Lema ni watu hatari sana


Mkurugenzi wa kampuni ya CZI, Cyprian Musiba amekutana na waandishi wa Habari Dodoma ambapo ameongelea kuhusu baadhi ya watu  wanaolichafua taifa na Serikali kuwaacha bila kuwachukulia hatua.

ANGALIA VIDEO HII..