F VIDEO: EXCLUSIVE: LIPUMBA Ayacharukia Maandamano ya April 26 | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

VIDEO: EXCLUSIVE: LIPUMBA Ayacharukia Maandamano ya April 26

Kufuatia kuzidi kusambaa kwa taarifa za kuwepo kwa maandamano Aprili 26 mwaka huu, mwenyekiti wa CUF anayetambuliwa na msajili wa vyama, Profesa Ibrahim Lipumba amejitokeza na kuwashukia wale wanaohamasisha maandamano hayo akisema yanapaswa kuongozwa na taasisi au chama tawala na siyo mtu ambaye hata Tanzania hayupo. Lipumba amewataka wananchi kuwa makini ili wasije wakapata madhara siku hiyo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI..USISAHAU KUSUBSCRIBE