F VIDEO: LEMA Atabiri Makubwa! Amtaja Rais Magufuli, Usalama wa Taifa | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

VIDEO: LEMA Atabiri Makubwa! Amtaja Rais Magufuli, Usalama wa Taifa

Kufuatia kunyimwa dhamana kwa viongozi wa juu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Mbunge wa Arusha Mjini na Mjumbe wa Kamati Kuu, Godbless Lema amefunguka mazito juu ya kesi zinazowakabili viongozi hao huku akiitaja idara ya usalama wa Taifa nchini kuhusika na mkakati huo, Lema ameenda mbali zaidi na kutabiri machafuko ya wenyewe kwa wenyewe endapo hatua stahiki hazitochukuliwa.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI..USISAHAU KUSUBSCRIBE