"Mpaka sasahivi kwa taarifa nilizonazo tunao baadhi ya viongozi wa Serikali, vyama vya siasa, Wabunge na vingozi wa dini wengi waliowapa kinamama mimba na wakawatelekeza na mtawashuhudia, nafahamu zoezi hili ni gumu na linahitaji watu wa mungu ili kufanikisha" RC Makonda
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHU KUSUBSCRIBE