Mkurugenzi wa utafiti kutoka watetezi wa rasilimali wasio na mipaka (WARAMI) Bw. Phillipo Mwakibinga, amesema kuwa mbowe na wenzake wamekamatwa kama matokeo ya matendo yao ya ushawishi na kuchochea chuki kwa watanzania jambo ambalo sio tamaduni ya watanzania na kusisitiza kuwa mbowe na wenzake ni chanzo cha kifo cha akwillina
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI..........USISAHAU KUSUBSCRIBE....................