F VIDEO: ''Rais wafukuze kazi Makonda, Sirro, Nchemba'' BAVICHA | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

VIDEO: ''Rais wafukuze kazi Makonda, Sirro, Nchemba'' BAVICHA

Baraza la Vijana Chadema Taifa ( BAVICHA) linamtaka na kumshauri Rais Magufuli kuwafukuza kazi mara moja Mwenyekiti wa baraza la usalama Jijini Dar es salaam, IGP Sirro na Waziri Mwigulu Nchema kutokana na kutochukua hatua kwa matukio yanayoendelea hapa nchini.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBUSCRIBE