Maonyesho hayo yatahudhuriwa na viongozi wa kiserikali pamoja na balozi mbali mbali, ambapo waziri wa viwanda biashara na uwekezaji Mh. Charles Mwijage ndie atakae yafungua maonyesho hayo ambayo yatasaidia kuinua vipaji na kuonyesha uvumbuzi mbali mbali kutokwa kwa vijana wa kitanzania kujionyesha mambo makubwa wanayoweza kuyafanya.
Hayo yamesemwa na afisa mawasiliano wa wizara hiyo Bw. Edward Nkomola wakati akizungumza na waandishi wa habari leo katika ofisi za Taxify ambao hao pia ni wadhamini wa maonyesho hayo.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI................USISAHAU KUSUBSCRIBE..................