F VIDEO: Yanga TV kuzinduliwa rasmi | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

VIDEO: Yanga TV kuzinduliwa rasmi

Klabu soka ya Yanga imezindua programu maalum ikijiunga kidigitali katika kutoa taarifa za timu hiyo kwa mashabiki wake na kuiingizia kipato timu yao, hata hivyo kufuatia uzinduzi huo pia na jitihada za viongozi ya kuletea maendeleo ambapo iliambatana na minong'ono ya mda mrefu sasa imefikia mwisho ambapo Aprili Mosi mwaka huu klabu hiyo kongwe zaidi nchini inatarajia kuzindua TV ambapo mashabiki na watanzania kiujumla wataijua Yanga kupitia Yanga TV.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......... USISAHAU KUSUBSCRIBE