F VIDEO: Zari Aonekana Bongo, amekuja na kuondoka kimya kimya | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

VIDEO: Zari Aonekana Bongo, amekuja na kuondoka kimya kimya


Mama wa watoto wa Msanii Diamond Platnumz, Zari the Boss lady imesemekana amefika nchini Tanzania kimya kimya Jana na kuamua kufunga safari ya kuondoka leo,

kwa taarifa zisizo rasmi inasemekana hakufika madale ambapo ndipo alipokuwa akiishi na msanii au baba wa wanae Diamond platnumz bal amefika nchini hapa  na kufikia katika hoteli ya hyatt regency iliopo posta.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI ................USISAHAU KUSUBSCRIBE..................