F Zifahamu aina za magonjwa ya ngono | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Zifahamu aina za magonjwa ya ngono

Kuna  aina mbalimbali  za magonjwa ya ngono ambayo yamegawanywa katika makundi kutokana na dalili zake kama ifuatavyo:

1. Magonjwa yenye dalili za kutokwa na usaha au majimaji sehemu za siri (ukeni na uumeni).

Magnjwa hayo ni kama vile;
• Kisonono
• Trikomonas
• Kandida.

2. Magonjwa yenye dalili za kutokwa na vidonda.

Magonjwa hayo ni kama vile;
• Kaswende.
• Pangusa.
• Malengelenge sehemu za siri.

3. Magonjwa yenye dalili za kutokwa na uvimbe.

Magonjwa hayo ni kama vile
• Mitoki.
• Pangusa
• Malengelenge sehemu za siri.