F BREAKING NEWS: Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kongwa afariki kwa ajali | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

BREAKING NEWS: Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kongwa afariki kwa ajali


Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa, Ngusa Izengo, amefariki dunia katika ajali ya gari  iliyotokea usiku wa kuamkia leo huko Chalinze-Nyama nje kidogo ya mji wa Dodoma.