Kufutia kesi inayoendelea kuhusu Mwenyekiti wa chadema na wenzake, Mh. Freeman Mbowe, leo kesi yao imesikilizwa mahakama ya kisutu na kughairishwa hadi siku ya tarehe 17/ April/ mwaka huu ndio siku kesi hiyo itaendelea kusikilizwa.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...............USISAHAU KUSUBSCRIBE....................