F Ndege za Israel zafanya shambulizi Gaza | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Ndege za Israel zafanya shambulizi Gaza

Ndege za Israel zimefanya  shambulizi katika ngome za  kijeshi eneo la Gaza nchini Syria.

Kwa mujibu wa habari,ngome hizo za kijeshi zinamilikiwa na Hamas.

Ndege hizo za Israel zimeelekeza mashambulizi yake katika eneo la Deir al-Balah kusini mwa Gaza.

Hakuna mtu aliyeripotiwa kupoteza maisha katika shambulizi hilo.

Shambulizi hilo limefanywa kulipia kisasi shambulizi lililofanywa siku ya Ijumaa.