F VIDEO: CHADEMA Yakanusha Kuhusika na Ufisadi | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

VIDEO: CHADEMA Yakanusha Kuhusika na Ufisadi

Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kimekanusha taarifa ya kuwahusisha na ufisadi iliyotolewa na mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde bungeni akinukuu ripoti ya mkaguzi na mdhibiti mkuu wa serikali CAG. Mkurugenzi wa utawala na fedha Chadema, Rodrick Lutembeke amekanusha tuhuma hizo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KUSUBSCRIBE