F VIDEO: Jengo la ghorofa 10 hatarini kuanguka wakazi wahamishwa,Barabara yafungwa Dar | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

VIDEO: Jengo la ghorofa 10 hatarini kuanguka wakazi wahamishwa,Barabara yafungwa Dar


Familia zaidi ya kumi leo zimekuwa kwenye taharuki jijini Dar es salaam baada ya nondo za nguzo ya nyumba ya ghorofa 10 kupinda na kupelekea kuhatarisha maisha ya wakazi wa eneo hilo.


TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.... USISAHAU KUSUBSCRIBE