F VIDEO: Nyumba zaidi ya 17 zasombwa maji Dar, Makonda ashuhudia Jangwani, Vingunguti | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

VIDEO: Nyumba zaidi ya 17 zasombwa maji Dar, Makonda ashuhudia Jangwani, Vingunguti



Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amefanya ziara ya kuwatembelea na kuwapa pole wahanga wa mafuriko na kuwataka wananchi waishio maeneo ya mabondeni kuhama ili kuokoa maisha yao.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI ......USISAHAU KUSUBSCRIBE