F VIDEO: Polepole aivaa CHADEMA amtaka msajili wa vyama aichukulie hatua | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

VIDEO: Polepole aivaa CHADEMA amtaka msajili wa vyama aichukulie hatua


Katibu wa Itikadi na uenezi CCM Humphrey Polepole amesema kutokana na ripoti ya Mkaguzi wa Serikali CAG ambao inaonyesha kuwa Chadema wametumia vibaya fedha za chama, hivyo amemtaka msajili wa vyama achukue hatua kutokana na swala hilo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE