VIDEO: Wenye mamlaka mchukulieni hatua Zitto Kabwe - CCM

Chama cha Mapinduzi kupitia kwa Katibu wake wa itiakdi na uenezi Humphrey Polepole kimetaka mamlaka za kisheria kumchukulia hatua Kiongozi Mkuu wa chama cha ACT, Zitto Kabwe kwa kile anachokiita upotoshaji unaofanywa na Zitto kuhusu ripoti ya mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali CAG.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI..USISAHAU KUSUBSCRIBE