F Rais Magufuli amteua Mizengo Pinda na Makongoro Nyerere | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Rais Magufuli amteua Mizengo Pinda na Makongoro Nyerere


RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, amewateua Waziri Mkuu Mstaafu, Mzee Mizengo Kayanza Peter Pinda na Makongoro Nyerere kuwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC).