F Diamond Platnumz kuja na Wasafi Festival, aanza mipango | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Diamond Platnumz kuja na Wasafi Festival, aanza mipango


Baada ya msanii wa Bongo fleva ambae amepata mafanikio na kuendelea kutengeneza nafasi za ajira kwa vijana Diamond Platnumz ambapo miezi michache iliopita amefanikwa kuja na Tv stesheni na radio yake inayotwa WASAFI TV na WASAFI FM hatimaye leo alikuwa kwenye kikao cha kuja na wasafi Festival ambapo ni show ya muziki ambayo itakuwa inazunguka mikoani.