F BREAKING NEWS: AJALI MBAYA, MBEYA WATU 5 WAFARIKI DUNIA | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

BREAKING NEWS: AJALI MBAYA, MBEYA WATU 5 WAFARIKI DUNIA

Ajali Mbaya ya magari matatu imetokea kwenye mteremko wa mlima IGAWILO Mkoani MBEYA.

Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo inasemekana kuna roli lenye kontena limeangukia gari ndogo aina ya NOAH iliyokuwa imebeba abiria na inasemekana watu 5 wamefariki Dunia.

Kwa habari zaidi tutakuletea muda sio mrefu.