F Baraka the prince na Naj wameachana? | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Baraka the prince na Naj wameachana?

Msanii wa  bongo fleva kutoka katika lebel ya bana music , Baraka the prince amethibitisha kuachana na mpenzi wake wa siku nyingi Naj  Datan ambae muda mwingi amekuwa akiihsi nje ya nchini.

Katika ukurasa wake wa instagram, Baraka aliweka ujumbe wenye maana kuwa sasa hivi yuko single na hakuna mahusiano kati ayke na mwanamke yoyote kitu kinachofanya kupigia mstari kuwa hayuko katika mapenzi tena na naj.

Ikumbukwe kuwa hivi karibuni kulitokea teesi kuwa msanii huyo Baraka the prince alibadilisha dini ili kufuata dini ya mwanadada Naj, hivyo kama wameachana bado haijajulikana kama msanii huyo atabaki katika dini aliyobadilisha au atarudi katika dini yake