F Papa Fransisco aguswa na Ajali ya MV Nterere, atuma salamu za rambirambi | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Papa Fransisco aguswa na Ajali ya MV Nterere, atuma salamu za rambirambi

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani  baba mtakatifu Papa Fransisco ametuma salamu za Rambirambi kufuatia ajali ya kivuko cha MV Nyerere.

Katika salamu zake kupitia kwa Balozi wake nchini baba mtakatafu amewapata pole wote walioko katika majonzi na kuwapa moyo wote wanaotafuta ndugu ambao hawajaonekana

Amemuomba Mungu awajalie baraka, nguvu na faraja wote walioguswa na msiba huo