F Picha ya Irene Uwoya yawatoa watu povu mtandaoni | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Picha ya Irene Uwoya yawatoa watu povu mtandaoni

 Msanii wa Filamu Bongo, Irene Uwoya amejikuta akiibua mjadala mkubwa mara baada ya kuachia picha ambayo inaonyesha eneo la kifuani likiwa wazi kwa asilimia kubwa.

Mremmbo huyo ametumia ukurasa wake wa Instagram kuweka picha hiyo ambapo mashabiki wake wamejikuta wakichagia kwa wingi kuliko ilivyo kawaida kuhusu picha hiyo.

==>>Picha iliyozua gumzo