Chama cha ACT - Wazelendo leo Octoba 3 kimetoa ufafanuzi kuhusiana na ushiriki wake kwenye chaguzi za marudio zinazoendelea jimbo la Liwale na kutoa msimamo wao kwamba wamejipanga kupapambana ili kuhakikisha chama hicho kinasimama imara.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI........USISAHAU KUSUBSCRIBE