F Faida tano zitokanazo kwa kula ndizi mbivu | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Faida tano zitokanazo kwa kula ndizi mbivu


Habari za muda huu mdau na mfatiliaji wa mtandao huu wa Muungwana blog bila shaka u mzima na unaendelea vyama na majukumu yako ya kila siku, naomba nikarike rasmi katika safu hii ambapo leo tutazungumzia faida za kula ndizi kama ifuatavyo:

1. Ulaji wa ndizi husaidia kusafisha damu, uchafu wote wa damu unaotokana na acidi pamoja na ulaji mbaya chakula husababisha damu kuchafuka hivyo kila wakati ili kusafisha damu yako unashauriwa kula ndizi mbivu kwa wingi.

Pia ikumbukwe ya kwamba ndizi ina vitamin A, B na E pia ina mchanaganyiko lukuki wa madini ya calcium, iron, potassium, sodium, magnesium, chlorine na sulpjur.

2. Msaidia mtu mwenye afya dhaifu kuweza kuwa na mwili wenye muonekano wenye nguvu na nadhifu.

3. Ulaji wa ndizi huasaidia matatizo yote yatokanayo na tumbo, hivyo kama una matatizo yanakayo na magonjwa ya tumbo unashauriwa kula ndizi kwa wingi kwani ndiyo tiba tosha.

4. Husaidi kuponya matatizo yote yotakanayo na kifua kikuu kama endapo utakula ndizi hizo kwa kufuata utaratibu.

5. Ulaji wa ndizi huasaidia kwa kiwango cha hali ya juu sana kupigana na magonjwa anbayo huja kwa kukusanyika kwa maji maji mwilini au magonjwa yanayofanana na hayo