F Picha: Mahafali ya shule ya Feza yalivyofana | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Picha: Mahafali ya shule ya Feza yalivyofana


Tumekusogezea Picha za Mahafali ya shule ya wasichana na wavulana, Feza yalivyofanya yaliyofanyika katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam.

mwanafunz wa kidato cha nne shule ya wasichana feza Clare Anadra   akiweka kumbukumbu ya jina lake kweny sanduku la wanafunz ambao wanafanya vizur shulen wa nyuma kushoto ni mkurugez wa shule za feza mr Ibrahim yunus na anayefata ni francis nanai mkurugez mtendaji wa mwananch communication wakiwa kwenye mahafari ya kidato cha nne yaliofanyika ukumbi wa mwalimu nyerere Dar es salaam

Mwanafunz wa kidato cha nne Peter Kiama  feza akiwa akigonga jina lake kweny sanduku la kumbukumbu za wanafunzi ambao waliokuwa wanafanya vizur Darasan nyuma ni mgeni rasmi judge mfawidhi mahakama kuu ya Tanzania Amiry Rajab kwenye mahafari ya kidato cha nne feza yaliofanyika jijin Dar es salaam
Mwanafunzi Clare Anadra akipewa mkono wa pongezi huku akikabidhiwa chet cha kuwa mwanafunz bora wa tahaluma na judge mfawidhi wa mahakama ya Tanzania Amiry Rajab anayefa kulia ni mkurugezi wa shule za feza Ibrahim yunus wakiwa kwenye mahafari ya kidato cha nne feza yaliyofanyika hapa jijini.

Mwanafunz wa Kidato cha Nne shule ya wavulana  Feza Peter Archie Kiama  akikabidhiwa chet cha best perfomace na judge mfawidhi wa Mahakama  Tanzania Amir Rajab Mruma wa kati kulia ni Mkurugez wa shule za feza na kushoto ni mkurugezi mtentaji wa mwananchi communication francis nanai kweny mahafaliya shule za feza boys na girls  yaliyofanyika jana katika ukumbi wa mwalimu nyerere jijini Dar es salaam.