F Shilole atoa onyo mume wake kutumika katika video za wasanii | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Shilole atoa onyo mume wake kutumika katika video za wasanii

Msanii Shilole amesema hataki kuona yeyote yule anamtumia mume wake kwenye video yake.

Shilole amesema hayo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kwenye uzinduzi wa albamu ya Nandy.

"No, nilimwambia kabisa don't do that, unajua sometime wanamtafuta tu, kwa hiyo wanaweza kumchukua kwa nia nzuri lakini sitaki kabisa, bwana natangaza staki msanii yeyote kumtumia mume wangu," amesema.

Mume wa Shilole, Uchebe ametokea kwenye video ya wimbo wa msanii huyo inayokwenda kwa jina la Mchaka Mchaka.