F Fahamu faida zitokanazo na mti wa mlingoti kiafya | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Fahamu faida zitokanazo na mti wa mlingoti kiafya



Miti inayopandwa na watu wengi katika karne hii imekuwa ni miti ambayo watu wengi wamekuwa wakipanda kwa lengo la kuuza pekee. Lakini ukweli ambao nitakueleza leo ni kwamba kuna faida lukuki kama utamua leo kupanda miti aina ya milingoti katika eneo la shamba lako.

Hivyo zifutazo ni faida zitokanazo na mti aina yamlingoji kiafya:
  
Mti huo unaweza kutibu athma, matezi, kibofu cha mkojo, kifua kikuu, kifua cha mapafu, kuoshea vidonda, kukanda katika viungo vyenye maumivu na uvimbe, kuulia wadudu, kikohozi kikavu, kisukari, malaria na figo.

Pia unasaidia kuondoa maumivu ya viungo, baridi yabisi, kuhara damu, maradhi ya kinywa, kuungua moto na mafua ambapo unatakiwa kuchemsha majani ya mlingoni kisha vuta mvuke wake.

Namna ya kufanya
Chukua majani ya mlingoti yenye uzito wa gram 30 yaoshe vizuri kisha tia lita moja ya maji moto, kunywa glasi moja kutwa mara tatu.