Mabasi mawili aina ya Scania 93 yapo Dodoma yanauzwa, bei mi maelewano.
Moja limefungwa liner kit aina ya Marley hivi karibuni, la Pili linatembea lakini linahitaji service ndogo kabla ya kuanza kazi.
kwa mawasiliana zaidi piga simu namba hii 0784295612.