F Matukio katika Picha Binti wa Rais Kagame wa Rwanda afunga ndoa | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Matukio katika Picha Binti wa Rais Kagame wa Rwanda afunga ndoa


Mtoto pekee wa kike wa Rais wa Rwanda, Paul Kagame, Ange Kagame juzi Ijumaa amefunga ndoa ya kimila na mchumba wake wa muda mrefu Bertrand Ndengeyingoma, Ndoa hiyo imefungwa huko Ntebe Mashariki mwa Rwanda kando kando mwa ziwa Muhazi.







Ange Kagame (25) mara kwa mara, amekuwa akitajwa na mitandao mbalimbali kuwa ndiye mtoto wa Rais ambaye mrembo zaidi barani Afrika.