F Rais Magufuli afuta maelekezo yaliyotolewa na Wizara ya Elimu kuhusu Bendera, Nembo na wimbo wa Taifa | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Rais Magufuli afuta maelekezo yaliyotolewa na Wizara ya Elimu kuhusu Bendera, Nembo na wimbo wa Taifa


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amefuta maelekezo yaliyotolewa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kuhusu Bendera, Nembo na Wimbo wa Taifa.