Mchezaji wa klabu ya Yanga sc, Beno kakolanya amefunguka kuhusiana na tetesi za kuhamia klabu ya Simba ambapo amesema taarifa hizo sio sahihi kwani bado ni mchezaji wa Yanga na bado ana mkataba na timu hiyo.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE