F Diamond na Tanasha kuna biashara pale - Casto Dickson | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Diamond na Tanasha kuna biashara pale - Casto Dickson



Mtangazajii wa Clouds Tv, Casto Dickson amesema kuwa kwenye mahusiano ya Diamond na mpenzi wake wa sasa kuna biashara pale.

Casto ameiambia, Dizzim Online kuwa ukimuangalia Diamond na mpenzi wake huyo yeye binafsi anaona kuwa biashara inaingia pale.

"Ukimuangalia Naseeb na yule Tanasha Automatically mimi binafsi naweza kusema wako pamoja ila kuna bussiness inaingia ndani yake kutokana na at the look at the Couple ilivyo the way ilivyokuwa mimi na yule ilikuwa ni couple bussiness moja kali sana," alisema Casto.