F Matukio katika picha ujenzi wa Mji wa Serikali | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Matukio katika picha ujenzi wa Mji wa Serikali


Baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kusema serikali ya Awamu ya Tano lazima ihamie Dodoma.Tazama Matukio Katika Picha Maendeleo ya Ujenzi wa Mji wa Serikali, Ihumwa jijini Dodoma.
Sehemu ya mafundi wakiendelea na kazi ya ujenzi katika jengo la Wizara ya Maliasili na Utalii linaloendelea kujengwa katika mji wa Serikali Ihumwa Jijini Dodoma kama walivyokutwa mwishoni mwa wiki
Muonekano wa jengo la Wizara ya Katiba na Sheria katika mji wa Serikali Ihumwa ambapo ujenzi wa majengo ya Wizara zote unaendelea