Nahodha wa timu ya Yanga SC Ibrahim Ajibu amemsapoti Msemaji wa Simba SC Haji Manara kwa kumchangia kununua pafyum ya DE LA BOSS kwa shilingi laki tano.
Ajibu ametoa mchango huo katika uzinduzi wa Pafyum na Haji Manara Foundation ambayo imefanyika hotel ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam huku ikikutanisha mastaa kibao.
Hata hivyo Ajibu amekataa kuzungumzia mechi ya fainali ya Sportpesa Cup ambayo Sharks Karioabng ameibuka na ushindi na kubeba kombe hilo mechi ilichezwa jana uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.