Msanii wa Bongo Fleva, Linex yupo kwenye hatua ya mwisho ya kuachia wimbo wake mpya mbao amemshirikisha Lady Jaydee.
Wimbo wa wawili hao unakwenda kwa jina la Too Late na tayari wameshafanya video yake. Chini ni baadhi ya picha katika maandalizi ya video hiyo.