Naibu Waziri wa Maji na UmwagiliajiKatika, Jumaa Aweso katika kuzindua mradi wa maji ulitotekelezwa na Shirika lilisilokuwa la Kiserikali la World Vision alitekeleza vyema Kampeini ya Kumtua mama Ndoo kwa Vitendo.
Mradi huo umegharimu zaidi ya Tsh. Milioni 150 ambapo Shirika Hilo Mkoani Kagera limeongeza mradi mwingine wa maji katika kata ya Bulembo Kijiji Bulembo Halmashauri ya Wilaya Missenyi.