F Shule 10 zilizoongoza Matokea ya kidato cha nne | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Shule 10 zilizoongoza Matokea ya kidato cha nne


Baraza la Mitihani la taifa (NECTA) limetangaza matokeo ya Kidato cha Nne mwaka 2018 ambapo Shule ya Wasichana ya St. Francis ya mkoani Mbeya imeongoza kitaifa. Hizi hapa ni shule kumi bora kitaifa ambapo hakuna shule ya serikali.