F Si Mchezo; Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi katika mazoezi (+Picha) | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Si Mchezo; Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi katika mazoezi (+Picha)


Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi Nchini Naibu Kamishna DCP, Liberatus Sabas amekutana na kikosi Maalum cha kupambana na uhalifu katika viwanja vya Kikosi cha kutuliza Ghasia mkoani Ruvuma, baada ya kuwasili katika ziara yake ya kikazi.