Msanii Steve RnB amefunguka kuhusu kupungua kwa safari za nje ya nchi huku akitaja hali ya uchumi kutokuwa nzuri kama sababu iliyopelekea safari hizo kupungua.
Steve amesema kuwa safari zimepungua kutoka miezi 9 mpaka miwili au moja katika kipindi hiki.
"Hali ya Uchumi sio nzuri kihivyo ndio maana safarii za nje zimepungua kutoka miezi 9 mpaka miwili au moja kipindi hiki," Steve ameyasema hayo XXL.
Kwasasa Steve anafanya vziuri na ngoma yake mpya ya 'SweetNANA' ambao ni wimbo wake wa kwanza kuutoa ndani ya mwaka huu.