Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (TPL) kuendelea leo mechi nane zitachezwa ikiwa ni mzunguko wa 28 kwenye viwanja vinne tofauti kama ifuatavyo:-
Mwadui FC dhidi ya Biashara United, uwanja wa Mwadui Complex saa 8:00 mchana.
African Lyon dhidi ya Simba, uwanja wa Amri Abeid saa 10:00 jioni.
Coastal Union dhidi ya Azam FC, uwanja wa Mkwakwani saa 10:00 jioni.
Ruvu Shooting dhidi ya Kagera Sugar, uwanja wa Mabatini saa 10:00 jioni.