Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amezungumza na Wafanyabiashara wa Kati na wadogo wa Karikoo kwenye ukumbi wa Anatouglo jijini Dar Es salaam.
|
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda akizungumza kaika kikao cha wafanyabiashara wa kati na wadogo alichokiitisha, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye ukumbi wa Anatouglo jijini Dar es salaam, Februari 28, 2019 |

Baadhi ya wafanyabiashara wa kati na wadogo wa Kariakoo wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Anatouglo jijini Dar es salaam, Februari 28, 2019 |