F Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana kesho | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana kesho


Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) itakutana katika kikao chake maalum hapo kesho, Machi 30, 2019 jijini Dar es Salaam, kupokea taarifa na kujadili, pamoja na masuala mengine, mwenendo na hali ya siasa nchini.